HELKOPTA ILIYOTENGENEZWA NA MTANZANIA

HELICOPTER ILIYOTENGENEZWA NA MTANZANIA


Mtanzania  Abdi Mjema ndiye anayeitengeneza helicopter hiyo katika chuo cha  ufundi Arusha na hadi kufikia mwezi wa saba mwanzoni itaanza majaribio ya awali, helicopter itakuwa na uwezo wa kuchukua abiria wawili na mpaka sasa shilingi million  3 zimeshatumika

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post