Familia ya wana muziki wawili waloungana ku kufanya muziki na kundi ambalo linapeta na kutikisa katika tasnia ya muziki, P SQUARE wamesema wamekubali kipaji alichonacho mbongo-fleva anaetikisa jiji na majiji dunia nzima kwa staili na sauti yake bwana DIAMOND PLATNUM, peter na paul okoye wamesema wanakubali sana wasanii ambao wanafanya vizuri katika muziki kwani lengo la wanamuziki wenye malengo katika kufanya muziki ni lazima wawe na mapinduzi katika muziki...
Wamesema kati ya vijana ambao wanakuja juu katika mapinduzi ya muziki bas mbongo fleva nassib juma abdul ali maarufu kama diamond platnumz, anakuja juu sana hivyo wako tayar kufanya nae kaz... Pamoja na kuwa wanasema wameshafanya nae kazi lakini bado wanayo nafasi pia ya kufanya kazi zingine nyingi tuu hivyo watanzania na wanadunia wote wategemee kazi nyingi kutoka kwa wababe hawa waliolishika soko la muziki pamoja na mburudishaji bora kutoka tanzania diamond platnumz