Picha: Ajali ya DPP kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe

humph the GREAT
 MSAFARA wa Waziri wa Sheria na Katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa Mashtaka na Makosa ya Jinai, DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato wakitokea mkoani Geita.
Imedaiwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva kujaribu kuwakwepa watoto wawili waliokuwa wakikatiza barabara ghafla, taarifa zinadai kuwa katika ajali hiyo hakuna vifo wala majeruhi.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post