BREAKING NEWS: Mugabe aachia ngazi

humph the GREAT
Raisi anaehakikiwa na kuamini kama nimfano wa kuigwa africakwa msimamo alionao kwa kuiongoza nchi bila kubabaika na anajiamini sana... Tukio ambalo limewaacha watu wakitoa macho kwa kustaajbu na kutokutokea kwani haikufikirik pale ambapo alisimama na kusema kwamba...







BREAKING NEWS

RAIS MUGABE AACHIA NGAZI

Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ameamua kuachia ngazi.

Taarifa za kuaminika zinasema ya kwamba Rais Mugabe aliachia ngazi leo asubuhi wakati akishuka toka kwenye ndege bila kusaidiwa na mtu yeyote.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post