Drake Amfanyia Mpenzi Wake Rihanna Bonge la Sapraizi Barabarani

humph the GREAT
drake-rihanna-billboard
drake-rihanna-billboardTUNAWEZA kuthubutu kusema ni nadra sana au pengine haijawahi kutokea kabisa kwa hapa kwetu Bongo kufanya kitu cha namna, kweli huu ni upendo ulipitiliza, Drake anafahamu nini akifanye ili kuukonga moyo wa Rihanna.
rihanna-drake
rihanna-drakeDrake ambaye ni staa wa ngoma ya 6 God ambaye anadaiwa kutoka kimahaba na Rihanna na ameamua kununua bango kubwa la barabarani (billboard) kwa ajili ya kumpongeza mpenzi wake huyo kwa ajili ya tuzo zijazo za MTV Video Vanguard Award.
drake1
drake1RiRi aliposti kwenye Instagram, na kuandika, “Hkika wewe ni zaidi” zaidi ya moyo….
Bango hilo lilisomeka, “Hongera kwa Rihanna kutoka kwa Drake na kila mtu wa OVO.”
Brit Rihanna (5)Rihanna atapokea tuzo ya heshima ya Michael Jackson Video Vanguard Award kesho Jumapili kwenye VMA huko Madison Square Garden jijini New York, ambapo pia amepangwa kutumbuiza.
Brit Rihanna (5)
Ataungana na waalikwa wengine mastaa wakiwemo Kanye West, Justin Timberlake, Beyoncé, Michael Jackson, na Janet Jackson.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post