humph the GREAT
Mwanamuziki Wizkid kutoka Nigeria akifanya yake stejini wakati wa uzinduzi rasmi wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Benpol akionyesha makali yake kwa mashabiki wake jijini Mwanza.
Mzee wa Hainaga Ushemeji…., Man Fongo akifanya yake jukwaani.
Mkali wa ngoma ya Kwetu kutoka WCB, Raymond akiwa jukwaani.

Burudani mwanzo mwisho.
Tags
Burudani



