Hili ndilo alilosema ben pol baada ya ali kiba na ommy dimpoz kuweka nywele rangi kama yeye

humph the GREAT
Baada ya Alikiba kubadili rangi ya nywele zake na kuweka Nyekundu kisha Ommy Dimpozi naye kufanya hivyo huku ikiaminika kwa mashabiki kuwa wamem-copy msanii Ben Pol kwa kuwa yeye awali alibadili nywele zake na kuzifanya kuwa za kijani.

Sasa baada ya wasanii hao kufanya hivyo mashabiki walitegemea labda Ben Pol angechukulia tofauti na kuamini kuwa wamemuiga yeye lakini imekuwa tofauti baada ya Ben Pol ku-post picha ya wawili hao nakuandika kuwa… “Nimefarijika sana leo  ” – Ben Pol

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post