HARMONISE kuchora tattoo mpya ya diaomnd mkononi

humph the GREAT
 
                                              Msanii kutoka wcb Harmonise

Msanii nguli na anayewika na kibao chake cha matatizo pamoja na kile alichoshilikishwa kinachokwenda kwa jina la INDE ambacho alishirikishwa na mkongwe katika muziki DULLY SYKSE , baada ya kukaa na tatoo moja tuu mkononi ya boss wake sasa ameifuta na kuongeza tattoo zingine tatu moja ikiwa ni ya boss wake huyo ambaye mwanzo tattoo hiyo aliifuta.
  
                          picha hiyo hapa juu ni tattoo ambayo imefutwa 
  
           picha ya tatoo ya sasa

harmonise amedai kuwa ipo siku boss wake huyo hatakuwa naye katika muziki hivyo ni vizuri kumkumbuka sana kwa makubwa aliyomfanikishia mpaka akafika hapa alipo.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post