KAZI! KAZI!!!

humph the GREAT

Nafasi 500 za Udereva Kutoka UDA

uda-bus-transport-tanzania        Uongozi wa UDA Management Agency Limited unatangaza kazi za Madereva 500 wenye leseni daraja “C” na uzoefu wa kuendesha mabasi ya abiria kwa miaka kuanzia 2 na kuendelea.

Maombi yawasilishwe kwa Charles Nzilankoma -Operations Manager 0763 600 376 au kwa Cyprian Malekela 0754 266 029 kwa Usaili wa awali.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post