Picha za Mzee Yusuf zinazo- trend mitandaoni baada ya kutangaza kuacha muziki

humph the GREAT
      Ni August 12, 2016 ambapo nguli wa muziki wa Taarab mzee Yusufu amechukua headlines katika vyombo mbalimbali hasa mitandaoni kuhusiana na kutangaza kuacha kazi ya muziki wa Taarab na kuaamua  kuishika zaidi dini yake ya Kiislamu hivyo hatofanya tena muziki wa Taarabu.

ASWEEE    Taarifa za awali zinasema kwamba Mzee Yusuf alitoa kauli hiyo August 12, 2016 baada ya kumaliza swala ya Ijumaa kwneye msikiti wa Ilala Bungoni (Masjdi Taqwa).

13561882_262179434155380_1891112826_n                                    

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post