Prof. Safari wa Chadema na Katibu Mkuu Bavicha Wapata Ajali Singida

humph the GREAT
ajali (2)Singida
Jana, Agosti 19, 2016, Makam Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Prof. Abdallah Saffari Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) Julius Mwita na dereva wao bwana Abas, jana walipata ajali mbaya ya gari katika maeneo ya Kitalaka, Itigi mkoani Singida.
ajali (3)Akiwasiliana na mtandao huu kwa njia ya simu, Afisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo kueleza kuwa wote walitoka wazima hakuna aliyefariki japo dereva abasi ndiye aliyeumia kwenye paji la uso na kupelekwa hospitali kwenda kutibiwa. Abas alishonwa nyuzi na baadaye safari yao iliendelea.
ajali (1)

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post