humph the GREAT
Mtengenezaji sigara maarufu nchini Cuba ametengeneza kile anachosema ni msokoto mrefu zaidi wa sigara duniani kusherehekea siku ya 90 ya kuzaliwa kwa Fidel Castro.
- Mtaalamu wa tumbaku Jose Castelar (mwenye shati jekundu) ameitengeneza sigara hiyo kwa heshima ya Fidel Castro
- Sigara hiyo ya mita 90 na ilimchukua siku 10 kuutengeneza msokoto huo akisaidiwa na watu kadhaa.
- Msokoto huo wa sigara uliwasilishwa kwenye meza kadha ndefu katika ngome ya kale ya wakoloni katika bandari ya Havana
- Bw Castelar na wasaidizi wake walifanya kazi saa 12 kila siku kwa siku 10 kutengeneza msokoto huo, ambao upana wake ni kama wa msokoto wa kawaida days to roll the cigar, which is the width of an ordinary one
- Urefu wa msokoto huo wa sigara ulithibitishwa na afisa wa Ubalozi wa UIngereza, aliyesema maelezo hayo yametumwa kwa Guinness World Records ili itambuliwe kama rekodi ya dunia.