humph the GREAT

Msanii anaefanya vizuri na mmiliki wa lebo moja inayofanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya bwana DIAMOND PLATNUM, alisem akuwa ana mpango wa kukutana na tajiri na mfanya biashara mkubwa kutoka Nchini tanzania bwana said bakhresa, kwani anayatamani sana mafanikio yake na anayo mengi ya kumuuliza na kuomba ushauri pia, diamond platnum ameyasema haya baada ya kuwa akiwa anahojiwa ni jinsi gani kingereza kilivyo muaibisha wakati anaenda kufanya show kwa mara ya kwanza nchini marekani.

Tags
Burudani