humph the GREAT
TAMASHA la Tigo Fiesta 2016 usiku wa kuamkia leo limeonyesha hali ya kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Tabora baada ya kuonyesha hali ya kuitikia vilivyo kwa kufurika katika Uwanja wa Al Hassan mwinyi wa mjini Tabora.

Staa mwenye makeke wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akicheza na shabiki wake Fiesta 2016 usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Al Hassan mwinyi wa mjini Tabora.

Shabiki akimbusu shilole shingoni.

Msanii Snura Mushi ‘Snura Majanga’ akifanya yake.
Snura akiongea na mashabiki wake.
Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol akifanya yake.
Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya Fiesta.
Staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Wivu, Juma Khalid ‘Jux’ akicheza na shabiki wake.
Director Shaibu akiachia vimbwanga jukwaani.
Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda akiongea na mashabiki wake.
Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.
Tags
Burudani








