Maajabu: Azifukua Maiti na Kuzivika Suti Mpya

humph the GREAT


Ndugu wakionesha maiti iliyovikwa suti na nyingine ambayo haijavikwa suti.

 INDONESIA: Kabila la Torajan la nchini Indonesia wamefukua maiti za ndugu zao kwenye makaburi na kuzivika nguo mpya.

Tukio hilo hufanyika kila baada ya miaka mitatu ambapo hufukua maiti na kuzivika nguo mpya ikiwa ni pamoja na kubadili majeneza ya zamani na kuweka mapya.
 Maiti baada ya kuvikwa nguo tayari kurudishwa kaburini.
 Picha ya maiti iliyopigwa akiwa hai na baada ya kufukuliwa.
 Maiti ikirudishwa kwenye jeneza tayari kwa kuzikwa tena.

Baada ya kuzivika nguo hizo tukio la kupiga picha za kumbukumbu hufuata na baada ya tukio hilo maiti hizo hurudishwa kwenye makaburi yao na kufukiwa tena.

Tamasha hilo hujulikana kwa jina la Ma’nene.
 Ndugu wakipiga picha na maiti.
Maiti baada ya kufukiliwa na kuvalishwa suti mpya.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post