Nyumba ya Navy kenzo kuwa tishio BONGO

humph the GREAT
    Navy Kenzo ni kundi la muziki wa bongofleva lenye makazi yake Dar es salaam likiundwa na Wanandoa watarajiwa, Aika na Nahreel ambapo hivi juzi walipata dili la kutokea kwenye mabango ya matangazo ya kampuni ya simu.
Ni wasanii ambao pia wamezikusanya pesa zao kutokana na jasho la muziki wanaoufanya ikiwemo tour ya kamatia chini ambayo ni smash hit yao iliyohewani sasa hivi, tazama hii video hapa chini kupata details zote.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post