PICHA 10: Muonekano wa studio mpya ya msanii wa Bongo Fleva….

humph the GREAT
Ni Sept 22, 2016 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda anaziandika headlines baada ya kufungua studio yake mpya aliyoipa jina la Last Born Records, ambayo itahusika kurekodi kazi za wasanii .
Nuh Mziwanda anaingia kwenye list ya wasanii wanaomiliki studio huku akiwemo, Barnaba, Professor Jay, Diamond Platnumz, Dully Sykes, Nahreel, Bob Junior, Nay wa Mitego na wengineo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

aw1a0053

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post