Wakenya Wasimama Kidete Kumtetea Huddah Baada ya Kuingia Kwenye Bifu na Zari, Wema Sepetu Atajwa

humph the GREAT
Wakenya wamekuja juu baada ya Dongo la Zari Kumpata Huddah Kuwa ni Nyaku Nyaku, Inasemekana Diamond yupo nchini Kenya ambapo ameenda kupiga Show Mombasa, sasa wadaku wa Kenya wanasema hiyo ndio sababu Zari Huko alipo hapakaliki kwani anahisi Mrembo Huddah atachukua nafasi hiyo Kumnyakuwa Diamond.....

Hivi Ndiyo Wasemevyo Wakenya Wakimtetea Mtu wao Huddah Monroe na kuwaponda Wabongo ambae huwa kazi yao Kuponda tu wakimtaja na Wema Sepetu kuwa Wabongo Wamegive Up Kwake:

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post