Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa.
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
mtazame dada wa diamond ambaye inadaiwa amezaliwa na mwarabu huyo pamoja mama wa diamond platnumz