humph the GREAT
Usiku wa February 17 2017 Mwimbaji Vanessa Mdee
aliandika historia mpya katika maisha yake ya muziki, usiku huo ilikuwa
ni maalum kwa Vanessa Mdee kumtambulisha msanii wake wa kwanza kutoka
katika label yake ya Mdee Music.
Mdee Music jana imemtambulisha Mimi Mars kama msanii mpya na kuitambulisha video yake mpya inaitwa ‘Sugar‘ ambayo itaanza kuoneka wiki ijayo mitandaoni na katika TV stations mbalimbali…. hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio lenyewe na chini mwisho kuna mahojiano na Mimi Mars.

Rapper Rosaree na Feza Kessy

Mimi Mars kwenye Interview Red capert

Support kutoka kwa ndugu na marafiki

Feza Kessy na Mimi

Mimi na Jux
Shetta na Mimi Mars

Friends na Mimi

Mimi Mars kwenye stage

Rosaree
Tags
Michezo na burudani