humph the GREAT
LML – Love
Melodies and Lights ni event ambayo iliandaliwa kuutendea haki mwezi huu
wa mahaba ambapo japo imefanyika siku tatu baada ya Valentine’s day.. hakika imeutendea haki mwezi wa Wapendanao.
Show ilisimamiwa na Waimbaji hodari wa bongofleva Baraka The Prince, Jux na Ben Pol lakini ndani yake kukawa na suprise za nguvu ikiwemo kuwaleta kwenye stage Wakongwe kama Saida Kalori.

Show ilisimamiwa na Waimbaji hodari wa bongofleva Baraka The Prince, Jux na Ben Pol lakini ndani yake kukawa na suprise za nguvu ikiwemo kuwaleta kwenye stage Wakongwe kama Saida Kalori.

G Nako na Mupenzi

Idris Sultan

Timbulo

Mwigizaji Jackline Wolper

Quick Rocka na Feza Kessy

Shaa

Balla, Dogo Janja, Madee na Manager Maneno

Warembo kwenye tabasamu la nguvu na Mwimbaji Linah aliyesimama katikati

Saida Kalori kwenye stage

Aika na Nahreel wa Navy Kenzo wakicheza na Saida Kalori
Tags
Michezo na burudani