humph the GREAT
Kutana na simu iliyokuwa ikitumiwa na Adolf Hitler
wakati wa vita kuu ya pili ya Dunia ambapo sasa hivi inauzwa kwa mnada
nchini Marekani, ni simu ambayo ina chapa ya Mjerumani huyo
na ilipatikana katika ngome ya Hitler kwneye mji wa Berlin mwaka 1945.
Kampuni inayosimamia mnada huo iliyoko Maryland Marekani, imesema kuwa shughuli za mnada zitaanza kwa bei ya Dola 100,000 ambazo ni zaidi ya milioni 200 za Kitanzania.



