WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan
ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na
wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu
lake mbele ya wageni waalikwa.
https://youtu.be/2WQn_eOHKqg
Tags
Udaku