humph the GREAT
kama ni kweli basi uwe unajirekebisha maana kuna siku atakuumbua na roho mbaya yako.
chuuuuuuuuu!!!!!
Inasemekana kwamba Paka ndiyo Mnyama pekee ambaye anaweza kwa haraka
sana kutambua ama roho mbaya ya Mtu au roho nzuri yake na kwamba huweza
kukutambua kwa muda wa kati ya sekunde tatu hadi tano tu kukujua.
Ni kwamba kama ukiwa mmekaa Watu wawili na kuendelea kisha mara ghafla
akatokea Paka na kwamba ukimwona tu huyo Paka anawatembelea ( kuwapapasa
) sana Wenzio pale tena bila wasiwasi huku Wewe akikuchunia jua ya
kwamba tayari anakuwa ameshajua Kipaji cha Upendo cha wale wenzako na
pia kukijua Kipaji chako cha Roho mbaya iliyokutukuka.
Hii kitu imekwenda mbali zaidi na kusemekana kwamba hata kwa Mzazi
ambaye una Mtoto wako mdogo ( Toddler ) kama ukitaka tu kujua haraka
jinsi tabia yake itakavyokuja kuwa kama akikuwa basi mchukue Paka kisha
msogeze nae na ukiona yule Paka anaonyesha ushirikiano nae vizuri kila
mara jua umezaa Mtoto mwema na kama ukiona kila ukijitahidi tu kumbeba
Paka na kumweka na Mwanao huyo ama Paka analia au anataka kukimbia au
pengine hata Kukung'ata jua ya kwamba umetuletea Tanzania Njemba yenye
roho mbaya sana.
kama ni kweli basi uwe unajirekebisha maana kuna siku atakuumbua na roho mbaya yako.
chuuuuuuuuu!!!!!
Tags
Je wajua ?