Mkude Sio Majeruhi tena

humph the GREAT
Image result for SIMBA jonas MKUDE 

Nahodha wa timu ya Simba au Wekundu wa msimbazi Bwn. Jons Mkude Simba ambaye ndio aliiongoza timu yake katita michuano ambayo ilifanyika kule Dodoma na kuipa ushindi timu hiyo dhidi ya wapizani wake ambao walikutana nao katika fainali hiyo Mbao Fc.... 
 
Simba walishinda Mechi hiyo na kuwa Mabingwa wa Kombe la shirikisho
Mkude alikuwa kati ya watu sita waliopata ajali iliyotokea jana na kusababisha kiungo huyo kupata majeruhi na shabiki mmoja wa Simba, Shose Fidelis amepoteza maisha.

Kiungo huyo alifikishwa Muhimbili kwa matibabu zaidi ili kupata uhakika.
Lakini hali yake inaonekana kuimarika na imeelezwa jana alikuwa akilalama sana maumivu lakini sasa ana nafuu.

“Anaendelea vizuri, labda tuangalie kidogo kujua zaidi,” alisema mmoja wa viongozi wa Simba

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post