humph the GREA
Ni wiki ya tatu sasa tangu taasisi ya Harakati Bora ilipowasilisha
malalamiko kwa Uongozi wa Chuo kwa niaba ya wanafunzi wake 'wanaotumiwa
vibaya' na waadhiri wao ikiwemo wanafunzi wa kike kutakwa kingono na
waalimu kwa kutishiwa kufelishwa NA wanafunzi wa kiume kutumiwa kama
'makasuku' na walinzi wa waalimu kwa ahadi ya kusaidiwa kupata ajira
baada ya masomo hayo.
Chuo cha Sokoine-Kilimo kimekuwa hakikui kuendena na kasi ya mabadiliko
katika sekta ya kilimo, teknolojia na kinazalisha wahitimu wasio na
impact katika jamii kutokana na Elimu ya vitisho, ulaghai wa wahadhiri
kwa wanafunzi. Chuo hiki kimegeuka genge la waalimu kupata 'mademu'.
Chuo cha Sokoine kina historia kubwa ya waalimu wake kuzaa na hata
kuoana na wanafunzi wake. Hii ni aibu na tishio katika mustakabadh wa
elimu Tanzania ikizingatiwa Chuo cha Sokoine ni chuo cha kilimo kikubwa
Tanzania!
Ni lini mara ya mwisho taifa limevuna utaalamu, uvumbuzi au ubunifu
kutoka kwa wanafunzi na wa chuo cha Sokoine? HAKUNA! na ni kwa sababu
CHUO KINANUKA NGONO.
Hata Ajira ktk chuo cha Sokoine zinatolewa kwa watoto wa Maproffesor
waliodumu chuoni hapo. Na nitaleta mifano na ushahidi hapa jukwaani hivi
karibuni.
8.May.2017 Uongozi wa Chuo uliwasilishiwa mashitaka juu ya mhadhiri
George S.S Fasha anayetuhumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Sokoine kuwa na
mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi watatu kwa mpigo lakini hadi leo hii
bado chuo kinafanya uchunguzi usio na dalili ya mwisho.
Nimeambatanisha ushahidi wa mawasiliano kati ya Mkuu wa Idara Proff
Damian Gabagambi na Idara ya HarakatiBora. Ikiwa taasisi hiyo
imewasilisha malalamiko kwa niaba ya wanafunzi wake kwa Vice Chancellor
wa chuo na utatuzi haujapatikana hadi leo hii.
Sambamba na hayo, Mhadhiri George S. Fasha akishirikiana na mhadhiri
mwenzake Marwa Raphael Masanda, wamekuwa wakiwatishia wanafunzi
kutokusema ukweli na wakiwatafuta wanafunzi waliohusika katika kushitaki
matendo yao. Hii inazidi kuwapa hofu wanafunzi wa Chuo cha Sokoine
haswa katika hatma ya masomo yao na ufaulu katika mitihani.
Tags
Udaku