VIDEO: RC Makonda afunguka kuhusu kijana aliyemkumbatia Rooney

humph the GREAT
  
Mechi kati ya Everton na Gor Mahia iliyochezwa Uwanja wa Taifa Alhamisi hii imeacha matukio mengi ya kihistoria katika soka nchini Tanzania. Mchezo huo ulimalizika kwa vijana hao wa Donald Koeman kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Gor Mahia ya nchini Kenya.

Moja ya tukio kubwa ambalo lilijitokeza katika mchezo huo ni lile la shabiki kuingia uwanjani katikati ya mchezo na kwenda kumkumbatia mshambuliaji machachari wa Everton, Wayne Rooney. Hata hivyo kijana huyo aliachiwa muda mfupi baabaye baada ya Mwenyekiti wa Usalama wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuamuru kijana huyo kuachiwa
https://youtu.be/lGDcHRwyrow 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post