Hatimaye Ali Kiba Katoa Wimbo Mpya Leo...Utazame na Kudownload Hapa

humph the GREAT
   
Hatimaye the waiting is over, Msanii Ali Kiba Ameachia Wimbo wake Mpya uliyosubiriwa kwa Hamu sana na Mashabiki zake baada ya kukaa kimya karibia mwaka mzima bila kutoa Wimbo mpya....Nimekuwekea hapa chini Audio na Video alafu utoe maoni yako kama utashika ama la? https://youtu.be/j7g8SNtaVVE

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post