POWER ATHANASY, TAzama Picha zake za robot Wa Tanzania anayejiendesha mwenyewe..

humph the GREAT
Ni kijana kwenye maajabu yake kutoka Sumbawanga, ana uwezo Mkubwa kwani mazoezi anayyafanya ni makubwa sana,
 Ana uwezo Wa
    1. Kunyanyua MTU Kwa kidole kimoja
    2. Kuzuia gar dogo Kwa mikono yake
   3.  Kuzuia Pikipik zaidi ya sita Kwa kutumia meno yake
   4. Kukimbia spidi ya pikipiki bila kuchoka
    5. Na mengine mengi aliyojaaliwa kijana huyu....

f






Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post