humph the GREAT
Kwa Mara ya kwanza nawaandikia makala vijana, kwani ukishauri na kuwafundisha vijana Ni sawa na kulielekezea kanisa kile ambacho ulikuwa na shida kilifikie taifa.
Vijana Wa sasa Ni vijana ambao wameshazoea kupata hela na kutumia vibay pasipo maumivu yoyote hivyo baada ya Raisi JPM kuingia madarakani vijana wengi tumebaki kulaumu kwenye mitandao, vijiweni na kwenye moja kati ya majadiliano yetu kuwa raisi anachofanya sio kizuri, binafsi nalipinga hilo tokea mwanzo kwani raisi JPM hajafanya maisha ya mwananchi kuwa magumu Bali amefanya watu wale kulingana na urefu Wa kamaba aliyonayo, lakini mbali na hivyo ametupa akili wafanyakazi ya kufanya na mambo mengine ambayo kwa namna moja au nyingine utaona linaweza kukuingizia kipato na ukaendleza maisha yako Kama kawaida mbali na kazi unayofanya serikalini, kodi unayolipia kutokana na kazi yako pia ukiwa na biashara na kwenye biashara pia ukalipia kodi bas ndivyo uchumi Wa nchi unavyozidi kukuwa
Uchumi Wa nchi ukikuwa na nchi inakuwa, na nchi ikikuwa pia na heshima ya nchi inaongezeka mbali na heshima ya nchi pia na wananchi waliomo ndani ya nchi hiyo wanapata heshima yao kutokana na kufanya uchumi wao kukuwa.

Kwa sasa waziri nae anakomaa kufanya kazi kwa bidii na bila kukosea ili mradi awe tuu na asije akaharibu kazi na yeye akaharibiwa kwenye hiyo kazi na maisha yakawa magumu, sembuse wewe ambaye huna mamlaka yeyote Yale kiukweli maisha yamekuwa magumu Sana chakula kingi baadhi ya mikoa na fedha hakuna, fedha imekuwa ngumu kupatikana kwa watu walio wagumu kutafuta.. Vijana ndio watu Wa muhimu katika taifa na Ni vijana ambai wanaonekana kulalamikia Sana serikali, hivi kwa mfano wewe Kama kijana umesoma hadi umepata stashahada Let say umesomea kwa miaka minne hadi kuipata hiyo shahada, baada ya kurudi nyumbani unaona hiyo elimu uliyo nayo bado haikusaidii chochote unaamua kubadili kozi na kwenda tena shule tufanye umeenda kusomea mjaka mingine mitatu, kwa muda wote huo Wa miaka 7 hakuna biashara au kazi ambayo unewahi fanya then ukirudi mtaani unasema maisha magumu wakati kwa miaka tuu ambayo ulikuwa unasomea hiyo kozi yako ambayo ulisoma tuu halafu hujui Kama Ina madhara baadae au haina madhara kuna mwingine ambaye hajaenda hata shahada wala stashahada na amefanya jambo kubwaambapo wewe na elimu yako unaweza ukarudi na ukaomba mawazo kutoka kwake,
Vijana tusipende kulalamika Sana wakati fursa tunaziona na kamwe kijana usichague fursa kwani huwezi hua Ni fursa ipi ambayo itakkuwa njema kwako na ikakutoa, kutafuta na kutengeneza mtandao Wa maisha ndio kila kitu katika maisha.
Tags
Je wajua ?