Odinga adai kuapishwa wiki ijayo

humph the GREAT
Wataalamu wa muungano mkuu wa upinzani NASA wameweka bayana kuwa wanazo hati zinazothibitisha kuwa Raila Odinga ndiye aliyepata kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa Agosti mwaka uliopita, uliompa ushindi Kenyatta.

Raila odinga aliandamana na vinara wenzake, musal mudavd na jimso orengo na kalongo msyuka na baadhi ya wanaouunga mkono muungano Wa vyama pinzani nchini humo NASA,  Raila odinga alisisitiza kuwa anachojua wakenya walimchagua yeye  viongozi Wa NASA walikutana na kufanya mazungumzo ya pamoja mbele ya waandishi Wa habari katika hoter ya kifahali ya intercontinental  iliyoko jijini Nairobi kwa kusudi LA kuelezea msimamo wao kilicho jili Ni kuwa inaonekana Raila odinga alishinda kwenye uchaguzi Wa August tareh 8 mwaka uliopita, kwa kujikusanyia kura million 8.1 wakati mpinzani wake mh.  Uhuru Kenyatta kupata kura million 7.9 kutokana na taarifa zilizopatikana kwa seneta James orengo , matokeo hayo Ni Yale yaliyonakiliwa kwenye fomu za 34A  zilizokuwa zikisambazwa na kujazwa kwenye vituo vyote vya kupiga kura. Maelezo haya yanapatikana kwenye mitambo ya tume ya uchaguzi ya IBC yaan SAVA ambapo kwa mtazamo huo wao wamenyimwa udhini ya kuyatazama, inakumbukwa kuwa matokeo ya uchaguzi Wa August mwaka Jana yalifuliwa mbali na mahakama na kuilazimu kufanya uchaguzi mwingine kwa Mara ya pili  mwezi October mwaka Jana,  wakati huohuo rais Uhuru Kenyatta amezipuuza kauli za viongozi Wa upinzani zinazoshikilia uchaguzi Wa August mwaka Jana yalimpa ushindi raila odinga, 
 Fafi mkuu David malaga ametahadharisha kuhusu hatua ya kumuapisha raisi ilhali Uhuru Kenyata akiwa bado anahudumu madarakani .
  Mpaka sasa haijafahamika Ni jaji gani atayekuwa na ujasiri Wa kumuapisha raila odinga ikiwa bado uhuru yuko madarakani. 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post