Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Mkubwa fela: Mimi ni Diwani lakini nalipwa na Diamond

humph the GREAT
Hatimaye Diamond Platnumz ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi kuhusu Maromboso kujiunga WCB.
Mbali na kumtambulisha msanii huyo lakini pia kulikuwa na interviews mbalimbali za wasanii kutoka Tanzania na nije ya Tanzania alikuwepo Dada wema sepetu, aunt Ezekiel, harmonize, rich mavoko na wengine kibao...  Lakini pia walikuwepo mamanagers mbalimbali kutoka wcb, ambapo alikuwepo mkubwa fela, babutale, salam na wengine kibao. 
Katika hotuba yake mkubwa fela alisema "diamond ni moja ya zao langu na kiukwel najivunia sana kuwa na mtoto kama huyu kwani ni zao ambalo linaangaliwa na Tanzania nzima sio Mimi tuu kwani yeye ndio kaanzisha habari ya managers kulipwa kwa hivyo namshukuru sana Mimi ni boss wangu huyu kwqni ananilipa mshahara babutale analipwa na nasibu lakin hats salaam pia analipwa na diamond kwa hivyo kwanini tusimsappot,  lakini pia napenda sana kabla sijafa nimuone diamond na kiba kwenye video moja kwani wote ni mazao yangu haya, na nawaombeni tumuombee dua aishi muda mrefu kwani kadri anavyozidi kuwepo duniani ndivyo atakavyozidi kuwasaidia wengine na kuiweka Tanzania sehemu nzuri kimuziki"

Kupitia mtandaio wa Instagram, Diamond ambaye ni bosi wa lebo hiyo amethibitisha kuwa msanii huyo wa zamani wa kundi la Yamoto Band ni mmoja wa wasanii wake lakini kitu kinachosubiriwa ni muda husika ili aweze kutambulishwa.
Kupitia mtandao huo Diamond ameandika.
Happy birthday @mbosso_ words can’t Express how big fan of yours i am…. i can’t wait, to officially introduce you as the Member of @wcb_wasafi Artists & Family…. i can’t wait for the world to hear the special and unique Talent that you have, that makes me be your Number One fan…… Happy Birthday Young Khan! ? (Kheri ya siku ya kuzaliwa @mbosso_ ….maneno kamwe hayatoweza kutosha kuelezea ni kias gani mie mshabiki ako….Heshima na Busara zako hunifunza mengi… Nasubiria kwa hamu siku ya utambulisho wako rasmi kama Msanii na Mwanafamilia wa @wcb_wasafi …Vilevile Ulimwengu kusikia kipaji kingine kizuri kutoka Tanzania… Mungu akupe Maisha Maref , Upendo na Furaha?) #Hallelujah

Post a Comment

0 Comments