Picha za wema sepetu zilizowaacha watu midomo wazi

humphrey eno
 Malkia wa Bongo Movie kutokea nchini Tanzania ambaye pia aliwahi kuwa miss Tanzania Mnamo mwaka 2005, aliwaacha watu midomo wazi baada ya siku mbili zilizopita kupost picha zake zinazonuonesha katika muonekano mpya ambao yeye binafsi anadai kuwa muonekano huo amejiandaa kutokana na kuhitajika kwenye dili kibao ambazo anatarajia kufanya ndani na nje ya nchi dili ambazo anadai zitamuingizia mkwanja mzuri sana, licha mwanadada huyo kuzindua bidhaa kadhaa hapo nyuma wema pia anadai yuko mbioni kufungua biashara nyingine mbali na kuizindua movie yake mpya movie ambayo itakuwa ni ya kwanza kutoka mwaka huu 2018.
 

 

 

 

 

 


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post