LOWASSA, MEMBE wanena makubwa msibani kwa Gwajima

humph the GREAT
 Image result for lowassa na membe
 WANASIASA nguli nchini, Edward Lowassa na Bernad Membe, kwa nyakati tofauti wametoa maneno ya faraja kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Mathias Gwajima, baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Bi. Ruth Paulo Gwajima ambaye aliagwa na kuzikwa leo Salasala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

hiki ndicho walichokisema

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post