Pwani: maandalizi ya kujenga reli ya standard gauge yaanza

humph the GREAT

IKULU: Muonekano wa leo wa tuta la kutandazia reli ya kisasa(Standard Gauge)katika eneo la Soga mkoani Pwani takribani km 37 kutoka maeneo ya pugu mkoani dar es salaam ilivyo kwa sasa ikiwa ni muendelezo wa maandalizi ya ujenzi wa reli hiyo,  katika mradi unaotarajiwa kukamilika baada ya miaka mitatu na utajengwa kwa awamu nne. 
 
Raisi John pombe magufuli amesisitiza kuwa anahitaji mradi huo umalizike mapema kwani aliwaahidi wananchi wake ataifanya kazi hiyo kwa muda mfupi kutokana na kuwa na kero ya usafiri katika jiji la dar es salaam,  lakini pia ameomba kuwa mama itawezekana mwekezaji huyo apunguze muda wa kamaliza kazi yake hiyo iliyoanza mnamo mwaka Jana December 4.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post