Habari njema kwa wakulima wa karanga diamond karanga wanahitaji tone 100 kila mwezi

humph the GREAT

Mahitaji yanayohitajika ni tone 100 kila mwezi

Fursa kwa watanzania,  kwa wale wote wanaojihisisha na ulimaji wa karanga Tanzania,  kampuni inayomilikiwa na mwanamuziki bora tanzania Diamond platnum iitwayo wcb company limited inawatangazia wananchi wote kuwa itaanza kununua karanga kutoka kwa wakulima muda wowote kuanzia sasa,  na kwa baei nzuri tuu angalia hapoa chini

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post