Raisi atuma salamu za rambirambi kwa mwanafunzi akilimwa

humph the GREAT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Leo February 18, 2018ameonesha masikitiko yake kwa Mwanafunzi wa chuo cha NIT Akwilina Maftah ambaye alipigwa Risasi katika maandamano yaliyofanyika February 16, 2018.
Kupitia Ukurasa wake wa Twitter President Magufuli ame-tweet ujumbe wa kutoa pole kwa familia, ndugu na Wanafunzi wote wa NIT pamoja na Watanzania walioguswa na Msiba huu.
Namnukuu President Magufuli“Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT). Natoa pole kwa familia, ndugu, wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu. Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili.” 

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post