Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Mashabiki wa diamond wakerwa na BSATA

humph the GREAT
Watu ambao wako kipeo cha mbele kumshawishi na kumsapoti msanii wa bongo fleva anafanya vizuri kwa sasa hivi bwana "Diamond platnumz" wamekerwa na kitendo kilichofanywa na baraza la sanaa tanzania baada ya kutangaza kuzifungia nyimbo mbili za msanii huyo na kudau kuwa hakuna sababu yoyote iliyofanya nyimbo ihizo zifungiwe na ukiangalia zimesha fanya kwa muda mrefu zikiwa mtaani.

Post a Comment

0 Comments