Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Interview za Ally Kiba zinaboa kwa kweli

humph the GREAT
Image result for alikiba 2018
Tofauti na masuper wengine ambao ukiangalia interviews zao mtazamaji utajifunza kitu kutoka kwake, na ataku-inspire kwa namna moja au nyingine.
Huyu mheshimiwa, kati ya maswali 10 atakayoulizwa atajibu 2 tu!

Yeye kwake kila kitu nni PERSONAL... Aaagrh, wewe ni msanii mkubwa bwana, watu wanapenda kujua na kujifunza kutoka kwako including some of your personal life stories (Sio kila kitu off course cha kuweka hadharani) lkn kwako ni too much!

Sasa umejipeleka mwenyewe kwenye vipindi kama LEO TENA na SHILAWADU, na unajua kabisa aina za interview ambazo huwa zinafanyika kule, matokeo yake kila saa unatishia kuondoka..

Post a Comment

0 Comments