Matokeo ya game ya Yanga dhidi ya USM Alger yanazidi kuchukua headlines kwenye mitandao kufuatia Yanga kufungwa magoli 4-0 nchini Algeria katika mchezo wao wa kwanza wa Kundi D wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Wachekeshaji wa Orijino Komedy Masanja Mkandamizaji na Joti ukiachilia mbali kuwa ni wachekeshaji pia ni mashabiki wa soka, Masanja indaiwa kuwa ni Yanga na Joti inatajwa kuwa ni shabiki wa Simba sasa baada ya Yanga kupokea kipigo leo Joti na Masanja wametoleana maneno ya utani kupitia kurasa zao za twitter
Joti aliaandika “Kitu kimeng’ang’ania #samahanilakini #samahanisana”
Masanja alimjibu Joti na kuandika “Una umama sana sometimes”
0 Comments