Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ticker

6/recent/ticker-posts

Mzee wa Upako: Ally Kiba ana kiburi Diamond mnyenyekevu

humph the GREAT


Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), #AnthLusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake.

Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana #Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini #Alikiba ni kiburi.
                   Msanii wa Bongofleva Diamond platnumz

👉“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,” amesema #Lusekelo.
                             Msanii wa Bongofleva Ally Kiba

Mchungaji huyo ameongeza kwa kusema,👉 “Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali



Post a Comment

0 Comments