Simba wakinukisha kuelekea ubingwa..

humph the GREAT
 Image result for simba sport club 
Simba wanakabidhiwa ubingwa wakiwa mjini Singida hata kabla ya kuivaa Singida katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara, kesho Jumamosi. Hii inatokana na waliokuwa mabingwa watetezi, Yanga kufungwa kwa mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Kufungwa kwa Yanga kuinaifanya ibaki na pointi 48 katika nafasi ya tatu, Azam FC katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 49 na Simba sasa wanachukua ubingwa wakiwa na pointi 65. Simba wanachukua ubingwa wakiwa na pointi tatu mkononi.
sharashamra za ubingwa kwa simba walivyo fanya vurugu

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post