humph the GREAT
Ndana waliaidi kuistopisha simba kutoka kwenye spidi ambayo wanayo kuelekea ubingwa ligi kuu, na kuahidi kushinda dhidi ya timu hiyo ambayo ndio inayoongoza ligi na ni mabingwa wtetezi wa ligi kuu Tanzania, ndoto zao hizo zimefika kikomo baada ya mwamba na kiongozi wa kufunga ligi kuu Tanzania Meddie Kagere kuifunga timu hiyo magoli mawili kwa bila na hatimaye simba kutoka na alama tatu, na kuendelea na mwendo uleule wa kuelekea kulitetea taji lao.
Kiporo cha Korosho kimeliwa Uwanja wa Taifa. Simba wanapata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Ndanda FC.
.
.
Simba sasa imetimiza pointi 88 na wanahitaji pointi 2 tu ili kutangaza ubingwa wa pili mfululizo wa TPL.

Tags
Michezo na burudani