​Series Ya #SquidGame Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi.
-
-
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja Rekodi Ya Series Ya Bridgerton Ambayo Ilitazamwa Na Watu Milioni 82 Ndani Ya Siku 28 Za Mwanzo.
-
-
Series Hiyo Inaropitiwa Kugharimu Kiasi Cha Dola Za Kimarekani Milioni 21.4 Ambayo Ni Takribani Bilioni 49 Za Kitanzania.
#SamMisagoTV
0 Comments