DIAMOND KUANZISHA WASAFI BET

​CEO wa Label ya @wcb_wasafi na #WasafiMedia, Mwanamuziki @diamondplatnumz ameendelea kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali nchini 🇹🇿 ambapo leo Novemba 26, 2021 ametangaza kuzindua kampuni ya kubashiri Michezo inayoitwa 'Wasafi Bet'


"Pesa Ilipo!💰 @wasafibetofficial #MkwanjaKilaBeti" ✍️.. @diamondiplatnumz


#WasafiDigital

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post