FULL TIME .
SIMBA SC anafanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3:0 .
Ilikuwa mechi nzuri sana kwa timu zote mbili wachezaji wamecheza vizuri licha ya changamoto ya uwanja .
Kwa upande wako nani
MAN OF THE MATCH leo ?
Kwangu mimi ni SUPER BENARD MORRISON
Goli 2 na assists 1.
JE? ndo tuseme game imeisha hapa au RED ARROWS wanauwezo wa kupinduwa meza mechi ya December 5 huko Zambia?
Neno moja kwa kocha wa simba
0 Comments