​Hakikisha unavaa barakoa wakati wote, hata kama upo kwenye eneo la wazi lisilo na misongamano ya watu wengi.
Hii ni kwasababu virus wapya wa KORONA-Omikroni ni wa tofauti na hatari zaidi kwasababu ni vigumu kugundua kama mtu amesha ambukizwa.
Dalili za mtu aliyeambukizwa virus hawa wapya wa KORONA-Omikron ni:
1. Hakuna kikohizi
2. Hakuna homa
Bali atakuwa na
3. Maumivu makali ya viungo
4. Kichwa kuuma
5. Maumivu ya shingo
6. Maumivu ya sehemu ya juu ya mgongo
7. Neumonia
8. Kukosa hamu ya chakula katika Hali ya kawaida.
Bila shaka, sumu ya virusi hao wapya ni mara tano zaidi ya wale wa Korona-Delta varianti, na wanaua kwa Kasi kubwa zaidi.
Virusi hao wapya huchukua muda mfupi zaidi kusambaa katika mwili kwa haraka na kusababisha maumivu makali bila kuonesha dalili za wazi.
Inatupasa kuwa makini zaidi.
Virus hao wapya hawatakaa kwenye njia za mfumo wa kupumua bali wanadhuru mapafu moja kwa moja kwa maana ya kwamba muda kati ya mtu anapopata maambukizi na kuanza kuugua ni mfupi sana.
Ukiwapata mara moja unaanza kuugua.
Wagonjwa wengi waliogundulika kuwa na virusi hao wapya wa CORONA-Omikroni hawakuonesha dalili yoyote bali picha za x-ray za vifua zilionesha kuwa walikuwa wana maambukizi ya neumonia.
Vipimo vyote vya maambukizi katika mfumo wa upumuaji havikuonesha kwamba walikuwa na maambukizi.
Hii ina maanisha kuwa, virus hao wapya wakiingia katika jamii huanza kuharibu mapafu na kusababisha neumonia na mgandamizo (presha) mkubwa kwenye mfumo wa upumuaji.
Hii inaeleza kwanini virusi hao wapya ni waharibifu zaidi na wanasambaa kirahisi na kusababisha vifo vingi kwa haraka zaidi.
Tafadhali tuongeze umakini, EPUKA sehemu zenye misongamano ya watu, kaa sehemu za wazi umbali wa takribani mita moja na nusu kutoka kwa mwenzako, vaa barakoa nzuri zenye vitambaa viwili na osha mikono yako kila wakati bila kujali kwamba watu hawakohoi wala kupiga chafya, hawana dalili za maambukizi ya korona.
Wimbi hili la Uviko-Omikron ni hatari zaidi kuliko wimbi la kwanza la uviko-19. Kwahiyo tuna hitaji kuongeza umakini na kuchukua hatua zote za tahadhari kuzuia virusi hao wapya.
Pia jitahidi kuwa mtoa habari mzuri na muelimishaji kwa marafiki zako ndugu na jamaa wa familia.
Usibaki na habari hii, isambaze kwa kadiri uwezavyo hasa kwa watu wa familia yako na marafiki.
0 Comments