Kiufupi tu hakuna Boss alie wekeza kwenye mpira na akapata faida 💯%
Mwamba huyu apa kapaa zake Kongooooo
Wananchi wanasubili kuona nni kimempeleka Boss huko ingali timu ilishafuzu hatua ya robo fainali
Yanga ingelikuwa haijadunzu robo fainali tungesema Boss kaenda kuongeza morali kwa wachezaji lakini kwa hali ya sasa Yanga tayari ana tiketi ya robo fainali.
Tusubili yajayo yanafrahisha
Yanga yenye uongozi imara inaenda kua moja ya timu bora
Wananchi watatetema mpaka wachoke.
Kwenye mpira Kuna ile kauli ya kulia kupoezana
Yanga alishatamba ambapo alichukua ubingwa mara 3 baada ya Azam kuingilia Kati tena Yanga akarudi mara moja miaka ukijuisha unapa 4+1=5
Simba mda wote huo hakuwahi tamba mjini baadaye ndipo Simba akaja na kasi ya 4G miaka minne akatawala soka 🇹🇿🇹🇿
Kwa sasa Yanga wamezamilia wanaenda kuchukua mara ya pili huku watani wao wakichechemea kuomboleza kifo Cha Bob junior 🤣🤣🐒
Kama kweli GSM atasimamia usajili wa msimu ujao Yanga itakua timu bora Sana kwa vilabu afrika kwa ujumla
Boss GSM kasema Kuna kufulu la usajili TFF wasipo ingilia Kati Kuna timu zitahamia Zambia.
Tusubili tuone sisi kazi yetu nikuenda uwanjani.
Ukiona upande mmoja wanazozana ujue upande wa pili full kicheko
Angalia anguko la Man U ni fraha kwa majirani zao Man City
Angalia anguko la Rmadrid ni furaha kwa watani zao Barcelona
Hii ndio hali halisi ya Simba na Yanga 🇹🇿
Upande wa pili wanasema wanapata hasara kuwekeza Simba upande wa pili ndo Wananoa kisu
Mwisho kila la kheri Yanga fc na Simba fc kuelekea mechi zenu za kimataifa tunaimani mtaipeperusha vyema 🇹🇿🇹🇿
⚽⚽💪💪
0 Comments