Hii ya dada zetu kukaa uchi tena zaidi hata kutokua na nguo za ndani ishakua too much! Hata wale ambao tulikua hatutegemei ndio wamekua vinara. Kiukweli hii ni aibu hata kwa jamii iliyokua inakuheshimu inapoona jambo kama hili basi pale pale heshima yako hushuka. Chukueni tahadhari kwa mavazi mnayo yawe ya heshima kidogo. Kama ni nafasi uliyopo mavazi hayawezi kukutoa au kubadilisha nafasi uliyopo. Mmeshakua kioo kwa jamii na menge jamii hujifunza kutoka kwenu.
0 Comments