Baada ya vimaneno maneno
kuzidi kuwaandama dhidi ya penzi lao Wema Sepetu na Diamond Platnumz,
Wema ameamua kuvunja ukimya na kuwajibu haters kwa kile wanachokifanya,
kupitia akaunt yake ya instagram wema sepetu aliweka picha ya Diamond
akiwa kitandani
na baada ya kuweka picha hiyo wema aliambatanisha maneno haya ” Da
love of my life.... Dats wat he is.... Our life, our rules.... Sipendi
watu wanavyoingilia my love life kabisa.... I am his nd he is mine...
dats jus it.... Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo
tayari wangu.... Love him jus like dat.... Mapenzi huwa hayaingiliwi
hata siku moja.... Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime,
hawakukosea at all... With all due respect stop talking shit bout my
baby.... Cuz at da end of da day he is da one I love nd I aint scared
to.say it.... Nd I aint gon.stop... Call me stupid, crazy or whatever
but dats jus reality.... Take it or leave it.... Im out... ”
0 Comments